Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo.
Diamond City Expansion (major expansion to Diamond City with many new NPCs, cells, buildings and more) That last one, the DC Expansion, adds so many new buildings, signs and billboards that the zone shown by bloodhound's photo is cluttered with many new visual obstructions, and there's no opportunity for pop-in.
Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo...
Malipo ni hapa hapa duniani! ------- Msanii Diamond Platnumz, akizungumza leo, Machi 31, 2026, katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Wasafi FM, Diamond ameeleza kusikitishwa kwake na namna serikali inavyomwaga rasilimali nyingi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, wakati muziki ukipewa kipaumbele wakati wa kampeni za kisiasa pekee.
Hello, I need help with Fallout 4. It crashes whenever i get close to Diamond City. I've tried restarting my computer, reinstalling fallout 4, lowering graphics, deleting EVERY SINGLE save (around 280 hours combining every save, says Steam) and I've also tried other fixes i found, but nothing wor...
Fallout 4 Crashes when close to Diamond City - The Nexus Forums
Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA. Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi...