Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao. Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa 2025/26? Yanga SC Clement Mzize Pacôme Zouzoua Lassine Kouma Maxi Mpia Nzengeli Simba SC Elie...
Yanga, Simba na Azam: Timu ipi ina safu kali ya ... - JamiiForums
Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!
Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA ... - JamiiForums
Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda...
Mchanganuo wa zawadi za fedha kwa Timu za Ligi Kuu NBC ... - JamiiForums
Ukweli kuhusu ajali ndege ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zambia 1993 ...
Kikosi cha Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025. Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh...
Real Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers. Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.